Frame inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
FRAME KUBWA NA STOO KUBWA SANA NA CHOO CHAKO INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
KODI 350,000 KWA MWEZI ( KWASASA INAFAULISHWA MTEJA AMEBAKIZA MIEZI 3) KWAHIYO ANAHITAJI MTU AMPE 600,000 TU KWA MIEZI HIYO 3 BAADA YA HAPO KODI TAJWA UTAENDELEA NAYO
SEHEMU NI NZURI KWA AINA YOYOTE YA BIASHARA ISIPOKUWA POMBE
KUPELEKWA KUONA FRAMES 15,000/=
0785889413