Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUJITEGEMEA VYUMBA VITATU
Kodi :: Tzs 700,000 kwa Mwezi
Malipo :: Miezi 6
Location :: GOBA KONTENA
.
📍Vyumba Vitatu(viwili ni Masta)
📍Sebule & Dinning
📍Jiko lenye makabati
📍Public Toilet
📍Luku Yako
📍Fenced
📍Parking Space ipo.
.
.
Tuwasiliane: (WhatsApp/Call/Txt)
0653057770
0693460720