Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


#CHUMBA_SEBULE_JIKO_CHOO#mpyaa🔥🔥
INAPANGISHWA
KODI TSHS LAKI 300,000/=KWA MWEZI
Malipo ya miezi 6
MAHALI GOBA MWANZONI MAGOLOFANI
Ipo ndani ya fensi
Luku yako maji yako
KWA MAELEZO ZAIDI
dalalimbezibeach_salasala
#0692406639
Call/Whatsp
Kuona nyumba 20k
___________________