Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT ZA KISHUA KABISAAA GOBA NJIA YA MADALE
WAHI CHAP
ZIMEBAKI CHACHE
Vyumba viwili kimoja master sebule jiko linawekwa Makabati na public toilet
500,000 × 6
GOBA NJIA YA MADALE
DAKIKA 5 KWA MIGUU KUTOKA MADALE ROAD
Service charge 20,000/=
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
__
Contact:
0654101710
0787205300