Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


NYUMBA INAYOJITEGEMEA YENYE VYUMBA 4 KATI YA IVYO
VYUMBA 3 NI MASTA NYUMBA
MZULI YA KISASA INA SEBULE
DAININGI JIKO NA CHOO. CHA
PABLIKI PAKINGI. KUBWA IPO
KALIBU NA BALABALA. PIA
INAFAA KUISHI. ATA KWA OFISI
SAWA INAPANGISHWA USD 1000
KWA MWEZI MALIPO YAKE KUANZIA MIEZI 6 NYUMBA IPO
MBEZI BEACH KWENDA. KULAGUA NYUMBA TUNACHAJI
SH 20000 NA BAADA YA MALIPO
DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI. KUTOKA KWAKO KWA
MAELEZO PIGA. SIM
0784422099
0746218111
0715422099