Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI NYUMBA ZIKO 2 KATI IZO MOJA NI KUBWA SANA KWA FAMILIA ZIKO MBALIMBALI
#SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#DAINING TABLE
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#VYOO VYA FAMILIA VIKO VIWILI NA BAFU
#FULL PAVING BLOCK BUSTANI KUBWA SANA
#FULL ICE NYUMBA NZIMA
#PARKING KUBWA SANA UNAJITEGEMEA
#UNAWEZA HATA KUFUGA PIA KUNA MABANDA
#UNAJITEGEMEA UMEME WAKO MITER YAKO YA MAJI MASMTANK
#MAJI NI DAWASA MUDA WOTE YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
CONTACT: 0672 673363