Nyumba inapangishwa Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI HIZO MOJA IPO WAZI
KODI TSH 250,000X3
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO LENYE KABATI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA FREE ULIPII MAJI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10 -15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 3 TU
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1
What saapp number ⬅️ 0689-547258