Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


#APARTMENT ZIPO 4 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 29/02/2023
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LINAKABATI
#PUBLICK TOILET
#TILLES
#GYPSUM
#ALUMINUM SLIDE WINDOW
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
LOCATION #KIMARA_BARUTI DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#EI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6