Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


400,000
HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 29/02/2024 KUONA MALIPO RUKSA
◇◇◇◇◇◇◇
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET
◇◇◇◇
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
◇◇◇◇◇◇◇
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK BUSTANI SAFI MZINGIRA MAZURI SANA
#ELECTRICK FANCE
#NYUMBA ZIPO 2 TU KWENYE FENSI PARKING YA KUTOSHA
◇◇◇◇◇
#LOCATION KIMARA SUKA DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI
◇◇◇◇◇◇
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0679 956 863
0696708032