Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYIJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 4 VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#GARDEN
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 450,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🇹🇿 NYUMBA HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU AU BODABODA SH ELFU 1 HADI KWENYE NYUMBA
💥 Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300