Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI NYUMBA ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI JIONI YA LEO TAREHE 09/06/2024 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO CHA FAMILIA NDANI
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#BEI NI 300,000/=
KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#NJIA RAFIK KWA GARI ZOTE ZA CHINI
=======
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CALL
0679062127