Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


APARTMENT NZURI YA KIFAMILIA INAPANGISHWA IPO KATI YA KIMARA KOROGWE NA KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 8 -10 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD.
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••
SIFA ZA NYUMBA =
VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINING TABLE
STORE
JIKO LENYE MAKABATI
MAKABATI VYUMBANI
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
PUBLIC TOILET ( BAFU / CHOO ) VYA NDANI
REZEV SIMTANK
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK PARKING SPACE KUBWA.
----------------
KODI NI LAKI 600,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
••••••••
BIASHARA NAMALIZA MWENYEWE SINA CHENI ###MPANGAJI ANAMALIZIA KUTOA VITU VYAKE LEO RUKSA KUONA NDANI NA KULIPIA
0655256419