Nyumba inapangishwa Kati, Arusha

 media -1
media -1
Sh. 100,000,000

NYUMBA INAUZWA AREA C-ROSEGARDEN (NHC)
TAZAMA MBAKA MWISHO KUONA.

(Vyumba 02-seble,jiko,public toilet!.

KIWANJA-380sqm

DOCUMENT-HATI

BEI-ASK?

CHUKUA ELIMU HAPA (MUHIMU)
_______________________________________________
1.MOJA KATI YA VIGEZO VYA MSINGI UNAPOANGALIA THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI ILIPOJENGWA
_______________________________________________

2.KATIKA MWAVULI WA REAL ESTATE UKITAKA KUWA REAL ESTATE INVESTOR MZURI LAZIMA UZINGATIE LOCATION PROPERTIES ZAKO ZILIPO.HIYO NI MOJA KATI YA SABABU ZA MSINGI SANA KIBIASHARA SABABU INASAIDIA KWENYE KUJUA THAMANI,KUPANGA BEI LAKINI PIA KUWEZA KUJUA RETURN YAKO (umewekeza lakini inaweza kukuchukua muda gani kupata ile pesa na faida kuanza kuiona?)
________________________________________________

3.KWA MKOA WA DODOMA MAENEO YENYE SOKO ZURI KIBIASHARA IWE KUPANGA,KUUZA NYUMBA BASI KWA HARAKA ZAIDI MAENEO YA AREA C,AREA D,UZUNGUNI,AREA A,AREA E(emmaus) Yanasoko zaidi
Naweza kukwambia nyumba nzuri ya kupanga Area C,Area D,Uzunguni,Emmaus(Area E) inaweza kuwa na bei kubwa kuliko nyumba zilizo maeneo ya kisasa,Ilazo,meriwa,makulu ama chidachi (Pita kwenye page hii hii kwaajili ya Research)
_____________________________________________
04.NIWAIBIE SIRI REAL ESTATE INVESTORS Badala ya kujenga nyumba yako ya kupanga ilazo,kisasa,n.k ambako kuanzia kiwanja mpaka nyumba vitakugharimu zaidi ya 100M ni mara kumi bora zaidi kununua Nyumba za bei nafuu(Wengi huziita za kizamani) maeneo karibu na mjini ambazo ukazi-Renovate zikakaa katika ubora mzuri na ukapangisha kwa bei nzuri zaidi ya hata uko ulikotaka kujenga sababu soko la mjini ni kubwa na linalipa zaidi.Na hata kwenye kuuza unaeza uza bei nzuri zaidi lakini pia kupata mteja kwa haraka ukilinganisha na maeneo mengine
_______________________________________________
05.WATU WENGI WANAKUWA NA HELA LAKINI WANAKOSA MTU SAHIHI WA KUMSHAURI,UKIHITAJI CONSULTATION KWENYE MASUALA YA REAL ESTATE NIPIGIE.
NI MUHIMU KUWA NA TAARIFA SAHIHI KUTOKA KWA MTU SAHIHI KABLA YA KUFANYA JAMBO
"IF YOU WANT TO KNOW SOMETHING CONSULT AN EXPERT" SABABU SISI WASWAHILI HUWA TUNA MAJIBU YA KILA SWALI ILA HATUNA TAALUMA YA KILA KITU.
____________________________________________

Extraordinary_dodoma
dalali_extraordinary_dodoma
Extraordinary_dodoma

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha

Sh. 300,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 20/12/2024#SEBULE KUBWA#VYUMBA 2 V...

Sh. 600,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA CHINI IKO WAZI #SEBULE WASTANI#VYUMBA 2 VYA KULALA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha

Sh. 300,000

APARTMENT INAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI 20/12/2024#SEBULE KUBWA#VYUMBA VIWILI VIKUBWA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha

Sh. 300,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 20/12/2024#SEBULE KUBWA#VYUMBA 2 V...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kati, Arusha

Sh. 300,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 20/12/2024#SEBULE KUBWA#VYUMBA 2 V...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kati, Arusha

Sh. 450,000

HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE FENSI KATI YA IZO MOJA YA JUU IPO WAZI INAFAA KWA FAMILIA KUBWA#SEBU...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kati, Arusha

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE WASTANI#CHUMBA MASTER#KIBALAZA CHA KU...

Nyumba/Apartment inapangishwa Kati, Arusha

Sh. 150,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE WASTANI#CHUMBA MASTER#KIBALAZA CHA KU...

Nyumba inapangishwa Kati, Arusha

Sh. 350,000

HIZI APARTMENT ZIPO 2 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE KUBWA #CHUMBA CHA KULAL...

Sh. 400,000

HIZI NYUMBA ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI LEO JIONI KUONA MALIPO RUKSA#SEBULE WASTANI#...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kati, Arusha

Sh. 500,000

APARTMENT CLASSIC FOR RENT ✨️ ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA JUU ✨️INAKUWA WAZI 10/11/...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Kati, Arusha

Sh. 400,000

(400,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗢𝗥𝗢𝗚𝗪𝗘HIZI NYUMBA ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI LEO...