Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO 3 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO
#CHOO CHA NDANI
# NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI KASOLO GETI
#LOCATION MBEZI KWAMSUGURI KLM 1 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI /700 TU UKISHUKA DK 2 UPO GETINI
#BEI NI 150,000, KWA MWEZI MALIPO MIEZI 4,5,6
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347