Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


#APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#PUBLICK TOILET NJE
#LUKU WAWILI
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY
#GIPSAM
#SHATA WINDOW
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION #UBUNGO_RIVERSIDE_KIBANGU
#USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI NAULI 700 UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
#BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
NOTE : KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 15 MPAKA UPATE NYUMBA
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796☎