Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO 2 KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI
#INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MITER YA MAJI
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA HAINA FENSI ULINZI WA KUTOSHA PARKING IPO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.