Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


(300,000 × 3) KIBAMBA SHULE
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #300,000
==
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa jiko na public toilet
==
Bei:300,000 Kwa mwezi × 3 ( Malipo miezi 3)
==
Umbali km 1.4 Bajaji zipo inakuacha mlangoni LAMI HADI KWENYE NYUMBA
==
Apartments zipo 3 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
==
Ndani ya fence parking nikubwa
==
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
==
Contact:
0654101710
0787205300