Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI MK2.5 KUTOKA LAMI
BAJAJI 1000 INAKUWA WAZI TAR 14.4.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA
-------
Chumba master
Seble
Hakuna jiko
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 120,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 1.2
-----------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693__673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏