Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NIMESHUSHA NIMEUWA BEI SASA NI 170K X6
BEDROOM &KITCHEN
ILIPWE LAKI MOJA NA SABINI MALIPO YA MIEZI SITA
LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO PIA UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTRENAL UKAFIKA
SIFA ZAKE
#CHUMBA MASTER
# JIKO
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM HAINA FENSI ILA MAZINGILA MAZULI SANA UMEME WAKO MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI PIA UKILIPA KODI UMELIPIA NA MAJI FREE 24HRS
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA