Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


โโ
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/=ร6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 300,000/=ร6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O AU BODABODA SH 70O
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja