Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA IPO JIRANI NA BARABARA BEI NI 250,000/=Γ6
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA MNOO
VITANDA VIWILI UNAWEKAAA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 250,000/=Γ6
ILIPWE LAKI MBILI NA NISU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
ποΈ APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI PIA
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETA 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNAINGIA NDANI BODA 1000
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja