Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA ZIPO NYUMBA 4 ZOTE ZIKO WAZI INATAKIWA MTU KUHAMIA TAREHE 10/04/2024 MAFUNDI WAPO KWENYE SPEED YA 5G+ SOMA MAELEZO KWA UMAKINI
(01) #SEBELU KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#DAINING TABLE
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#HITER ZA MAJI MOTO
#MAFENI VYUMBANI KOTE
#SIMTANK KILA MTU ANALAKE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#BEI NI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD BODA BUKU MPAKA GETINI
(02)👇
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LINAWEKWA MAKABATI
#DAINING TABLE
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#HITER ZA MAJI MOTO
#PAVING BLOCK MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10 KWA MIGUU KUTOKA MAIN BODA BUKU MPAKA GETINI
CNA CHENI NAONGEA NA MWENYE NYUMBA
#LOCATION KIMARA STOP OVER
0710614924
0688653940