Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO 
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI 
*ZIKO 4 KTK COMPAUND MOJA, INAJITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE KUBWA 
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700 
*KODI 180,000/= KWA MWEZI 
______________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
MAWASILIANO  0764575774
WSP




















