Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR SANA INAPANGISHWA 250K
LOCATION: KIMARA KOROGWE KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS BRBR NI YA LAMI PIA HATA UKITOKEA UBUNGO EXSTENO UNAFIKA NYUMBAN
.
.
USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
.
.
SIFA ZAKE
########
CHUMBA KIKUBWA
SEBULE KUBWA
JIKO ZURI KUBWA
CHOO NDANI
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKE
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDAN
NDAN YA FENS
PARKING IPO KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
.
.
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
.
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030