Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*NYUMBA AIKO KWENYE FENSI, ILA MAZINGILA MAZULI NA SALAMA, LUKU YA KUSHEA WA 2 NA KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, NOAH700
NB:HII NYUMBA NI MPYA, IPO KWENYE ATUA YA KUWEKWA FENSI MDA SIMREFU. CHUMBA KINA FUNGWA FENI
______________________________
*KODI 100,000/= KWA MWEZI
______________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347