Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


250,000 x3
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA IPO JIRANI NA BARABARA BEI NI 250K X 3
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE
#JIKO ZURI OPEN KITCHEN
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 250K X 3
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4
NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU
📌📌NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
🇹🇿 NO CHAIN HAPA (NJOO TUMALIZE PAMBANO 💪🏽
0679 956 863
0696708032