Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA KABISAAA ZINA PANGISHWA KODI TSH 200,000X6
KIMARA MWISHO KM2 KUTOKA LAMI
CHUMBA MASTER KIKUBWA
SEBLE KUBWA SANA
JIKO KUBWA BADO SINKI TU
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258