Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#KIMOJAWAPO MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 300,000/=Γ6π
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6π TUU
ποΈ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KU LIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KILOMETA 2 BAJAJI 1000π BODABODA 1000 πNJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
SERVICE CHARGE NI TZS 15,000/=
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja