Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🚨🔥#APARTMENT #KALI #INAPANGISHWA
âž–âž–âž–âž–âž–
📍Kimara korogwe
đź•“Dakika 3 Kutembea Kutoka Mwendokasi, Barabara nzuri Mpaka hapo.
🏠#SIFAZAKE
âś…Vyumba viwili, Kimoja Master
âś…Sebule
âś…Jiko
âś…Public Toilet
âś…Umeme Luku Yake
âś…Maji yanaflow ndani
âś…Fensi & Parking & Garden.
👉 Moja hapa Inapangishwa Wahi.
đź”·Kodi Tsh 500, 000/=Ă—6(Miezi Sita)
đź”·Malipo ya Dalali Tsh 500,000/=
đź”·Service Charge Tsh 15,000/=
__________________
#Piga_simu
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030