Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(130,000 × 6) KIMARA TEMBONI
_______
______
ZIPO NYUMBA 4 MOJA IPO WAZI
______
UMBALI WA KILOMITA 1 KWENDA KWENYE NYUMBA
_______
USAFIRI BODA BODA 1000
BAJAJI 700
_______
CHUMBA SEBULE CHOO NDANI
_______
______
UMEME WAWILI WAWILI
MAJI KILA NYUMBA INA MITA YAKE
_______
FENSI IMESHAJENGWA BADO KUWEKA GETI TU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja