Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


🔥 APARTMENT NZURII SANA
#LOCATION MNADA MPYA
Jilan sana na Barabara ya Lami.
➖️➖️➖️➖️➖️➖️➖️➖️
MUUNDO WAKE
👉Vyumba viwili vyote n master Bedroom.
👉Seble
👉Jiko zurii (Full Makabati.)
Publictoilet
➖️➖️➖️➖️➖️➖️➖️➖️
Huduma zake.
▫️Maji moto.
▫️Tank la maji juu
▫️Maji na umeme inajitegemea.
▪️Full fens na get
▪️Electical fens wire
▪️Car parking kubwaa
Mazingra mazurii na tulivu.
➖️➖️➖️➖️➖️➖️➖️
™️Kod lak 300,000/= mwezi malipo n miez sita.
➖️➖️➖️➖️➖️➖️➖️
™️Site visit elfu 10,000/=
Malipo ya kaz kwa dalali n kod mwez mmoja akiwah kuja kulipa tampunguzo
#Mawasiliano zaid
#Call____watsApp 0718436694