Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro


APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE NZURI
#JIKO ZURI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200K X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347