Nyumba inapangishwa Mbagala, Dar Es Salaam
Chumba sebule master bedroom pamoja na jiko lake la ndani kwa ndani kinapangishwa bei laki 2 kwa mwezi kodi kuanzia miezi 3 nakuendelea. Nyumba IPO mbagala chamazi Mzambarauni location mkoroshini. Chumba sebule master bedroom kina tiliz, madilisha vioo, jiko unajitegemea, umeme unajitegemea luku yk pamoja na maji pia mita yk, fensi ya parking ipo. Nyumba ni mpya kabisa haijakaliwa na mtu yeyote yule. Kwa mawasiliano zaidi pga namba 0688559385 au pga namba 071925 0426.