Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI YAKE INAPANGISHWA
đź’Ą NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINING ROOM
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
BEI NI 450,000/= X 6
ILIPWE LAKI 450 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🇹🇿 NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI HIGH (MAENEO YA CONTAINER) IPO SEHEMU NZURI USAFIRI UPO WA AINA ZOTE DALADALA,BAJAJI NA BODADADA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
đź’Ą NYUMBA HII INAFANYIWA MAREKEBISHO MADOGO MADOGO YA SIKU 5 TU
0773700963
0753 989554
=====