Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO MBEZI LUGULUNI LA PAZI UMBALI WA KM 1 BODA ELFU MOJA
YENYE
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI INA VYOO VYA FAMILY NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCKS GET
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU 300K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO PANGO
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15
SIMU
0712656027