Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI DK12 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko
Full air condition
Public toilet
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=Γ6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
-----------
Contact
π#0676_218580 (WhatsApp)
π#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA πΉπΏ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENTπΉπΏ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π