Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT YA UKWELI INAPANGISHWA NZURI SANA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO MBEZI LUGULUNI LA PAZI UMBALI WA KUTEMBEA KWA MGUU DK 8/10
YENYE
VYUMBA V2 VYA KULALA SEBULE KUBWA DINING ROOM JIKO ZURI INA VYOO VYA PUBLIC TOILET NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA FULL GARDEN
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI MBILI NA HAMSINI 250K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA Dalali PINDI ULIPIAPO PANGO
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15
SIMU
0712656027