Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA 230,000/= X 6
š„ APARTMENT HII INASIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#HAKUNA MASTER
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 230,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 30 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
šļø APARTMENT HII IPO KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU
BODA BUKU 1000...
#0785889413
#0785889413