Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 4
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 350,000/= X 4
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 4 NA KUENDELEA
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA HUO HUO NA NJIA NI NZURI TUU NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI