Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI DK5 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Maji yana flow.
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 600,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
---------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693__673010
#dalali_big_kimara🇹🇿🇹🇿🍾
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏