Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI
SEHEMU 'A'
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000/=X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
SEHEMU 'B'
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE
‼️HAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA