Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM NA JIKO INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH #150k
Chumba cha kulala
Choo ndani
Na jiko
#Hakuna_sebule
Umeme wawili
Maji yanaflow chooni
Fence na parking ya uhakika
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 4
Umbali dakika 12 Kwa mguu toka kituoni
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37