Nyumba inapangishwa Mtoni, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa 300,000 kwa mwezi
Terms of payment ni miezi 3
+1 monthly payment kama deposit cost
Ina vyumba viwili (1master)-sitting room
Fitted kitchen & public toilet
==============
Compound nzima zitakuw jumla familia 4
UMEME na MAJI utajitegemea
Car parking space
Electric fensi
===============
Location= mtoni kijichi
More info +255 712 445 523