Nyumba inapangishwa Segerea, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Segerea Viwanja Vya Benki.
- Master
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Maji 24/7
- Paving anaweka
- Parking
- Fence
Kodi 200,000/= MIEZI KWANZIA MINNE.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.