Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


#CHUMBA KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI (OPEN KITCHEN)
#CHOO NDANI
#BEI 250,000 MAJI DAWASA BURE KWA MWEZI KODI MIEZI 6
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILLES
#GIPSAM
#ALUMINUM SLIDE WINDOW
#MAZINGIRA MAZURI SANA
#NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
#LOCATION #UBUNGO_MAKOKA
#USAFIRI BAJAJ KUTOKEA UBUNGO RIVERSIDE AU UNAWEZA UKAPITA KIMARA KOROGWE KILUNGURE MWENDOKASI
#PAMOJA NA MWEZI MMOJA WA DALALI
NOTE KUJA KUONA NYUMBA NI SHINGI ELFU 15 MPAKA UPATE NYUMBA
Kwa maelezo zaidi piga :---