Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


โ๏ธNYUMBA INAPANGISHWA
IPO - DAR ES SALAAM
๐ENEO-SALASALA IPTL.
Kodi Kwa Mwezi Ni 1,500,000
Sifa Ya Nyumba
#Sebule Kubwa
#Vyumba V5 Vikubwa Vya Kulala
#Vyote Ni Master Bedroom
#Dinning Room
#Jiko Kubwa Zuri
#Public Toilet Nzuri ๐ป
#Store Kubwa
#Garden
#Tires,Gypsum na Slide Windows
#Inajitegemea UMEME na MAJI
#Paving Blocks
#Parking Space Kubwa
#Mazingira Mazuri Sana
Service Charge 20,000 Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba
Dalali Peter Ubungo
0688 067 289 ๐ถ
0714 418 005 Whatsap