Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM NA JIKO FOR RENT 210k
#LOCATION: UBUNGO MSEWE
DK 10 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 210,000/=X6
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIKUBWA MASTER
SEHEMU YA JIKO
UMEME WANASHEA WAWILI
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
HAPA HULIPII MAJI NI FREE TU
FENSI NA PARKING NI KUBWA
MAZINGIRA SAFI NA SALAMA
Contact:
0716 776247