Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NDG MTEJA WANGU UKU KWA MKUA SA IVI NYUMBA ZINALIPIWA KABLA AZIJAISHA SABABU PANAFIKA KWA UAKIKA
HII NI APARTMENT NZUR MPYA KABISA ZINAPANGISHWA 
KODI NI 200,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA 
NI YA KUINGIA BAADA YA WK TATU ENDAPO MTEJA AMEIPENDA NA KULIPIA 
SIFA ZAKE 
#######
CHUMBA MASTER 
SEBULE KUBWA 
JIKO ZURI 
ITAKUA NA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YATAFLOW NDANI CHOONI NA JIKONI 
IPO NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZURI MNOO 
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KWA MKUA UMBALI WA DK 4 TU KUTOKA BRBR YA LAMI 
USAFIRI BAJAJI 500 NA DALADALA ZIPO ZINAZOTOKA MJIN MNAZI MMOJA KUPITIA UKU KWA MKUA KUELEKEA MBEZI MWISHO 
SERVICHAJ ELFU 15 NA Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087 
# Simu 0757 404087




















