Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA
IPO UBUNGO MAKOKA
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4, 5, 6
SIFA ZAKE
########
INA VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZURI
ZIPO APARTMENT 5 KWENYE NA MOJA NDO IPO WAZI NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI NA PARKING IPO KUBWA
UMBALI KM 2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500 NA BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE
SERVICHAJ ELFU 15
0652 508128
0753 989554
=====
CONTACT