Nyumba inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


HII APARTMENT NI YA KUINGIA TAR 01/12/2024
NJOO UILIPIE TAR MOJA UAMIE NI MPYA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE
LOCATION: UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE KM 2 KUTOKA MENROAD USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA DK 0 UPO NYUMBAN
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
SIFA ZAKE
========
NI CHUMBA MASTER
SEBULE KUBWA
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU 2
MAJI YAPO
DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENSI
MAZINGIRA TULIVU
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
#0769680796☎
#0712348316WhatsAp